Brochures II - Kiswahili

Aina mpya za mihogo katika Pwani ya Kenya
Aina za Ngamia nchini Kenya
Boresha na udumishe rutuba ya mchanga kws faida kubwa
Chagua pareto ifaayo kwa mazingira yako
Chakula cha mifugo kutoka kwa mtama an matawi ya viazi vitamu
Changanya samadi na mbolea ya madini kwa mavuno ya juu
Dhibiti kwekwe kwenye vitunguu-viazi ili kuongeza mazao
Hifadhi afya ya mazingira kwa kutumia teknologia zilizothibitishwa na KARI
Hifadhi kuni- Tumia jiko la udongo
Imarisha sehemu kame za marisho kwa kuangamiza kwekwe
Jinsi ya kuandaa mkate wa mhogo
Jinsi ya kuandaa na kuunganisha miche ya matunda ya karakara
Jinsi ya kuboresha masalio ya mimea ili kuilisha mifugo
Jinsi ya kudhibiti kwekwe ili kuwa na mavuno mengi
Jinsi ya kuhifdahi mboga za kiasili za kutumia wakati wa kiangazi
Jinnsi ya kupika ugali wa muhogo
Jinsi ya kupunguza kuhara kwa ndama wa ngamia
Jinsi ya kutayarisha mawe madini ya kuua minyoo ya mifugo na kuongeza madini
Jinsi ya kutengeneza na kulisha 'chumvi Kuria' kwa ngamia
Jinsi ya kuwapa mbuzi nyongeza kwa kutumia miti asili ya jamii ya kunde katika sehemu kame
Jinsi ya kuzuia minyoo katika kondoo na mbuzi
Jinsi ya kuzuia uharibifu wa maziwa yaliyokamuliwa
Jinsi za kuzalisha mbegu ya ndizi na mimea iliyoko shambani
Kausha pareto kwa kutumia miale ya jua ili kuongeza mapato
Kilimo cha mpunga kutegemea mvua
Kinga kukataliwa kwa mazao ya kilimo cha bustani katika chi za kigeni
KSTP94-Mahindi yanyostahilimili 'Striga' magharibi mwa Kenya
Kukata matama na kuachilia kukua tena baada ya mavuno
Kulima na kutayarisha mafuta ya mawase
Kulisha mifugo kwa kutumia lucerne ya miti
Kutambua na kuzuia homa ya mapafu (Nimonia) ya ngombe
Kutayarisha mizizi ya mihogo kuwalisha ng'ombe
Kuwanjengea kuku wa kienyeji
Kuza Aloe kwa manufaa ya uchumi, afya, na pia kurejesha ubora wa ardhi
Kuza kabeji ukibadilishana na kunde kwa manufaa zaidi
Kuza maharagwe yaliyoimarishwa kwa chakula na mapato
Kuza ndizi zinazostahimili ugonjwa wa 'Black Sigatoka'
Kuza ndizi zinazostahimili ugonjwa wa Panama
Kuzuia kwekwe kwa kutumia Mucuna (Upupu)
Lishe nyongeza ya ng'ombe ya kinyumbani kwa bei nafuu
Namna ya kutayarisha kishamba cha matunda ya karakara (Passion)
Nyumba za kuhamishwa za Risayoni kwa wanambuzi na wanakondoo
Ongeza mapato kutoka kwa maua ya Gladiolus
Ongeza mavuno ya Alizeti kwa kupanda mimea mseto
Ongezeko la wimbi na mtama kutokana na mitaro iliyofungwa
Panda mapema ili kuongeza mavuno katika sehemu kame
Tambua na uuthibiti ugonjwa wa madoa meusi katika mboga
Tambua na uwaongeze viumbehai wa kikamboni muhimu shambani mwako
Tayarisha korosho upate hela
Tumia jamvi la miale ya jua kukausha pareto
Tumia keki ya mbegu kama kiungo cha lishe ya mifugo
Tumia mahindi yenye uwezo wa kuhimili Streak ili kuvidhibiti virusi vya ugonjwa
Tumia mbolea ya mimmea ya jamii ya mikunde kupunguza mbolea ya kununua
Tumia mimea ya kiasili kwa kulisha mifugo
Ufugaji mbuzi katika sehemu kame za Kenya
Ufugaji wa mbuzi wa maziwa
Ukingaji wa wadudu na magonjwa dhidi ya machungwa
Ukuuzaji haraka wa viazi vitamu
Ukuzaji kunde katika sehemu kame
Ukuzaji mahindi ya chakula cha binadamu na lishe ya wanyama
Ukuzaji viazi vitamu vya kizungu vya chakula
Ukuzaji wa asali katika sehemu kame
Ukuzaji wa maharagwe yanayotambaa ili kupata mazao ya juu
Ukuzaji wa maua ya Ami
Ukuzaji wa mmea wa Saflower katika sehemu kavu nchini Kenya
Ukuzaji wa ua la Molucella la kukatwa
Upimaji wa homa ya mbuzi haraka kando ya kibanda
Utambuzi wa haraka wa ugonjwa wa homa ya bonde la ufa
Utumiaji wa Vechi kwa mifugo
Utunzaji na uhifadhi wa nafaka ya mahindi
Utunzaji wa nguruwe wachanga ili kuimarisha ufugaji wa nguruwe
Uwekaji wa nyuki pwani ya Kenya
Uzalishaji Ngamia kuongeza ndama
Vuna pareto wakati ufaao
Wachanje mifugo dhidi ya homa ya pwani ya mashariki (ECF)
Walishe mifugo majani ya mhogo wakati wa kiangazi
Wanyama kulishwa nafaka zilizooza ni hatari kwa afya yako